Kikosi cha Simba jioni ya leo kitakuwa uwanja wa KMC Complex kuikabili TMA katika mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho la CRDB
Hii ni mechi muhimu kwa Simba katika malengo yake ya kushinda mataji yote ya ndani msimu huu
TMA sio timu ya kudharau kwani wanafanya vyema katika ligi ya Championship wakipambana kupanda ligi kuu msimu ujao. TMA wanashika nafasi ya tano katika ligi ya Championship
Mechi hii pia ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Simba kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Ijumaa, March 14
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment