Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mchezo mmoja wa kiporo utapigwa uwanja wa KMC Complex
Wenyeji Simba wataikaribisha Dodoma Jiji katika mchezo wa kukamilisha mzunguuko wa 22
Mechi hii inatoa nafasi kwa Simba kupunguza gap la pointi dhidi ya watani zao Yanga wanaoongoza ligi wakiwa na alama 58 huku Simba ikishika nafasi ya pili ikiwa na alama 54
Hata hivyo haitarajiwi kuwa mechi rahisi kwani Dodoma Jiji wana timu bora msimu huu inayojumuisha wachezaji wengi wenye uzoefu wa ligi huku wakiwa na kocha Meckie Mexime ambaye tangu yuko Kagera Sugar timu zake zimetoa ushindani kila zikikutana na Simba
Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 timu hizo zilipokutana katika mchezo wa duru ya kwanza mkoani Dodoma
Leo Simba itaendelea kuwakosa Che Malone Fondoh na Moussa Camara ambao wanaendelea kuimarika kufuatia majeraha waliyopata katika mchezo dhidi ya Azam Fc
Mchezo unatarajiwa kupigwa saa 10 jioni
Usikose kuitazama mechi hii ya SIMBA 🆚 TMA STARS LIVE kombe la CRDB BANK FEDERATION CUP bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment