Yanga Yaishika Pabaya Simba kwenye Jambo hili

 

Shirikisho la kutunza Historia na rekodi za mpira wa Miguu Duniani (IFFHS), limeitangaza klabu ya Yanga kushika nafasi ya 9 katika viwango vya ubora

Yanga imeendelea kuingia 10 bora ikiwa klabu pekee katika ukanda wa Afrika Mashariki

IFFHS pia wameitangaza Ligi Kuu ya Tanzania kushika nafasi ya 4 kwa ubora Afrika

Takwimu hizi zimekusanywa kwa kuzingatia mafanikio ya timu tangu Januari 1 2024 mpaka Disemba 31 2024

Pamoja na msimu huu kutelez kupenya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, bado takwimu zimeibeba Yanga

Ubora unaongaliwa hawa ni idadi ya pointi ambazo timu imekusanya katika kipindi husika na makombe waliyoshinda

Usikose kuitazama mechi ya CRDB CUP katia ya YANGA ðŸ†š COPCO LIVE na SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

Au Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post