Yanga yaifuata Al Hilal hiki hapa kikosi kamili

 

Kikosi cha Yanga kimeondoka Alfajiri ya leo Alhamisi Januari 09 kuelekea Mauritania tayari kwa mchezo wa raundi ya tano hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Hilal

Jumapili, Januari 12 Wananchi watakuwa dimbani kuikabili Al Hilal katika mchezo ambao alama tatu ndio matokeo pekee ambayo Yanga inahitaji ili kuweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali CAF CL

Msafara wa Yanga umejumuisha wachezaji 23 wakiongozwa na benchi la ufundi chini ya kocha mkuu, Sead Bamovic

  • Makipa; Djigui Diarra, Aboutwalib Mshery na Khomeiny Abubakary
  • Mabeki; Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Hamad 'Bacca', Dickson Job, Nickson Kibabage, Kibwana Shomari na Chadrack Boka
  • Viungo; Jonas Mkude, Mudathir Yahya, Khalid Aucho, Salum Abubakar, Stephane Aziz Ki, Pacome Zouzoua, Sheikhan Khamis, Clatous Chama, Duke Abuya, Farid Mussa na Denis Nkane
  • Washambuliaji; Clement Mzize, Prince Dube na Kennedy Musonda

Yanga inakwenda Mauritania ikipitia Istanbul, Uturuki

Usikose kuitazama mechi ya AL HILAL ðŸ†š YANGA na BRAVO 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post