Ni rasmi Yanga imefunga dirisha dogo la usajili kwa kuthibitisha usajili wa winga wa Kimataifa kutoka DR Congo, Jonathan Ikangalombo
Ikangalombo anatua Yanga akitokea klabu ya AS Vita akisaini mkataba wa miaka miwili
Ni usajili ambao Yanga waliukamilisha wiki kadhaa zlizopita kilichokuwa kinasubiriwa ni kukamilika kwa taratibu nyingine kabla ya utambulisho
Ameungana na mlinzi Israel Mwenda kufunga hesabu za Yanga katika dirisha dogo
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 MC ALGER LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Post a Comment