Yanga, MC Alger ni vita ya robo fainali CAF CL
Al Hilal ya Sudan imekuwa timu ya kwanza kufuzu robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya jana kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya MC Alger huko Mauritania
Al Hilal wamefikisha alama 10 kundi A ambazo zimewahakikishia kufuzu robo fainali huku vita ya kuwania nafasi iliyobaki ikizipambanisha Yanga, MC Alger
Baada ya kukamilika mechi za raundi ya nne, MC Alger wameendelea kubaki nafasi ya pili wakiwa na alama 5 huku Yanga wakishika nafasi ya tatu wakiwa na alama 4, TP Mazembe wakiburuza mkia na alama 2
Yanga haipaswi kupoteza mchezo dhidi ya Al Hilal na zaidi itahitaji kushinda mchezo wa mwisho dhidi ya MC Alger ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Mazingira ya kundi A hayatofautiani na kilichotokea msimu uliopita, alama nane zinaweza kutosha kuivusha Yanga robo fainali
Mchezo unaofuata Yanga watasafiri Mauritania kumenyana na Al Hilal Januari 12 katika mchezo ambao Yanga inahitaji kushinda lakini hata alama 1 inaweza kuwabakisha mabingwa hao wa nchi katika malengo ya kufuzu robo fainali
Usikose kuitazama mechi ya AL HILAL 🆚 YANGA na BRAVO 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment