Kesho Jumatano, Januari 15 saa 5:59 usiku dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Disemba 16 2024, litafungwa
Mpaka sasa Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji wawili Israel Mwenda na Jonathan Ikangalombo ambaye ni suala la muda utambulisho wake utakuwa hadharani
Aidha Yanga huenda ikafunga usajili wa dirisha hili kwa kuongeza beki mwingine wa kati mzawa
Usajili wa Yanga umechelewa kukamilishwa kutokana na changamoto iiliyojitokeza FIFA ambapo Yanga ilizuiwa kusajili hadi pale ilipomalizana na Augustine Okrah na klabu ya Benchem United ya Ghana
Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Yanga imethibitisha kuwa Yanga imemalizana na Okarah na sasa imeruhusiwa kuandikisha wachezaji wapya katika mfumo wa usajili
Mwenda alikuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa katika dirisha hili lakini Yanga haikumtumia kutokana na changamoto hiyo huku Ikangalombo akiwa nchini tangu wiki iliyopita akisubiri usajili wake ukamilike
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 MC ALGER LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Post a Comment