Wema wangu umeniponza kwa huyu mwanamke

Wema wangu umeniponza kwa huyu mwanamke
Jina langu ni Amani kutokea Mwanza, kazi yangu ni dereva wa Malori, katika maisha yangu niliwahi kupitia mkasa mkubwa sana, ipo hivi, kuna dada nilikutana nae club nikabadilishana naye namba za simu na kuanza kuwasiliana hadi tukawa wapenzi.

Siku moja nikamtoa dinner, tukapiga story nyingi sana. Baada ya hapo akaja magetoni, akanielezea shida zake kuwa anasoma Chuo na hana pa kukaa maana hakupata nafasi Hostel, hivyo alikuwa anaishi na marafiki zake mtaa.

Hivyo hata chakula kwake ilikuwa ni shida, hivyo akaniomba tuishi wote. Mwanaume sikuwa na shida, nikasema kwa kuwa ameridhia maisha ya ghetto, nikawa naishi nae vizuri tu bila shida yoyote.

Nilikuwa nimepanga room moja, kwa kuwa nimeongeza mtu ndani, tukahamia vyumba viwili yaani chumba na sebule. Tutabadili furniture za ndani na mwanaume nikaongeza vitu ile baby asipate shida akiwa nyumbani.

Kwa bahati mbaya au nzuri, huku akisoma, nikampa ujauzito. Ndio misukosuko ikaanzia hapo. Akawa analazimisha kuitoa, yaani hataki kuzaa. Kwangu mimi ilikiwa baraka hivyo ilibidi nimbembeleze ili mambo yawe sawa.

Baadae akaja kukubali hadi mama yake akaja Mwanza akitokea Mbeya na akaonana na ndugu zangu wakapanga mengi tu. Sasa kuna siku nipo kwenye kazi zangu napigiwa simu na majirani vyombo vyangu vya ndani vimechukuliwa na mpenzi wangu kaondoka.

Kuja kufuatilia namkuta kwa msela yaani mwanaume mwingine amehamia kwake, kusema kweli katika maisha yangu hakuna siku nimeumia kama ile.

Basi nikaenda polisi, mpenzi wangu kuitwa akanikana kuwa hanijui na pale tulipopanga ni kwake kisa tu nilikuwa namtumia hela ya Kodi na mkataba umejazwa jina lake maana mimi muda mwingi nipo safirini sikai nyumbani.

Kusema kweli niliumia sana ila nashukuru Dada yangu alikuwa karibu yangu katika kipindi chote, na ndiye aliyeweza kunivusha katika jaribu hilo baada ya kunishauri niende kwa Dr Bokko ambaye anasuluhisha matatizo ya kimahusiano.

Dada alinipa namba za Dr Bokko ambazo ni +255618536050 na kuwasiliana naye na kumueleza shida yangu, basi alinifanyia dawa zake na kunihakikishia kila kitu kitakaa sawa kabisa.

Hazikupita hata siku mbili, yule mpenzi wangu alinipigia simu na kuniomba msamaha na kutaka tuendelee na mahusiano yetu, nilifurahi sana kwa yeye kurudi kwangu na hadi sasa tupo pamoja na huyu mtoto wetu.

Mwisho.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post