Viingilio; Yanga vs MC Alger, CAF CL

Jumamosi, Januari 18 pale uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga itakuwa ikisaka matokeo ya aina moja tu, USHINDI dhidi ya MC Alger ili kukata tiketi ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Hii ni mechi ya mashabiki, Yanga inahitaji 'full house' katika mchezo huo ili kuhakikisha MC Alger wanakumbana na mazingira ambayo yatawafanya wakose utulivu kwa muda wote wa mchezo

Yanga tayari imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B ni Tsh 20,000/-, VIP C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Tayari tiketi zinapatikana kupitia mitandao ya simu

Usikose kuitazama mechi ya YANGA ðŸ†š MC ALGER LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post