Viingilio mchezo dhidi ya Copco Fc

Jumamosi, Januari 25 katika uwanja wa KMC Complex, Yanga itaanza kampeni ya kutetea taji la FA (CRDB Cup) kwa kumenyana na Copco Fc kutoka Mwanza ambayo inashiriki ligi daraja la kwanza

Ni katika mchezo wa raundi ya pili ya kombe la Shirikisho la CRDB ambao utapigwa saa 10 jioni

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-

Usikose kuitazama mechi ya CRDB CUP katia ya YANGA ðŸ†š COPCO LIVE na SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

Au Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post