Yanga inatajwa kuwa katika hatua za mwisho kumsajili winga wa Kimataifa wa DR Congo Jonathan Ikangalombo anayeitumikia klabu ya AS Vita
Ikangalombo alitua Tanzania wiki kadhaa zilizopita kwa ajili ya mapumziko akiwa na familia yake
Chanzo cha ndani Yanga kimethibitisha usajili wa nyota huyo uko katika hatua za mwisho kukamilika kama kila kitu kitakwenda sawa, nyota huyo anaweza kujiunga na Yanga
Licha ya kumudu kucheza nafasi zote za winga, Ikangalombo anaweza kutumika kama mshambuliaji wa kati pia
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment