Umemsikia Mjerumani wa Yanga? analitaka taji la CRDB

 

Kesho Jumamosi, Januari 25 Yanga inaanza kampeni ya kutetea kombe la CRDB kwa mchezo dhidi ya Copco Fc ya Mwanza

Mchezo huo wa hatua ya 64 bora, utapigwa katika uwanja wa KMC Complex, saa 10 jioni

Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic amesema dhamira yake ni kuona anarejesha kombe hilo Jangwani kwa msimu wa nne mfululizo

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo huo, Ramovic alisema wachezaji wake wote wako tayari kwa mchezo huo wa kwanza kwa kikosi chake baada ya kuondoshwa katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF CL)

"Tumekuwa na wakati mzuri wa kujiandaa na mchezo dhidi ya Copco Fc, tunahitaji kushinda ili tusonge mbele raundi inayofuata. Malengo yetu ni kutetea taji hili"

"Timu yetu ina kikosi bora cha wachezaji 25, wote wako tayari kwa mechi hii," alisema Ramovic

Yanga ndio mabingwa watetezi wa kombe la FA kwa misimu mitatu mfululizo ambapo katika misimu miwili iliyopita walilitwaa kwa kuifunga Azam Fc katika mechi za fainali

Msimu wa 2021/22 waliichapa Coastal Union katika mchezo wa fainali

Usikose kuitazama mechi ya CRDB CUP katia ya YANGA ðŸ†š COPCO LIVE na SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

Au Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post