Nahodha Msaidizi wa Yanga Dickson Job amesema kitu pekee wanachofikiria wachezaji ni kushinda mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger hapo kesho na kufuzu robo fainali
Job amesema ili kutimiza malengo yao, wachezaji watapambana na zaidi kuhimili presha ya mchezo huo na kuwa makini kwa dakika zote 90
"Tuko tayari kwa mchezo wa kesho, tunaamini utakuwa mchezo mgumu lakini tunahitaji matokeo ya ushindi"
"Wachezaji tunafahamu ugumu wa mchezo huu, kila mchezaji anapaswa kuwa tayari kiakili ili kuweza kuhimili presha ya mchezo"
"Umakini ndio jambo ambalo wachezaji tunapaswa kusisitiza, tunafahamu ukifanya makosa katika mechi muhimu kama hii inaweza kuigharimu timu hivyo wachezaji tutapaswa kuongeza umakini na kupambana kwa muda wote," alisema Job
🤔Bado hujadownload App ya kuangalia Mechi hizi?🤔
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 MC ALGER na SIMBA 🆚 CS COSTANTINE LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Post a Comment