Kiungo wa Simba Mzamiru Yassin amesema mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya CS SFaxien ambao utapigwa Jumapili huko Tunisia utakuwa mgumu
Mzamiru amesema kila mchezaji anafahamu umuhimu wa mchezo huo na wako tayari kupambana ili kuhakikisha wanashinda
Simba ilitua Tunisia juzi ambapo jana kikosi kilipata nafasi ya kufanya mazoezi yake ya kwanza, kiungo huyo punda akifunguka kuwa hali ya hewa haiwasumbui
"Hali ya hewa ya hapa ni ya kawaida sio baridi sana wala joto sana. Siku zote mechi za ugenini zinakua ngumu haijalishi unacheza na mpinzani gani lakini mara zote tunakumbushana kuwa makini"
"Yeyote atakayepata nafasi ya kucheza anatakiwa kuwa makini kwa sababu tunaambizana mechi ya mwisho haitakiwi kuamua hatma yetu hivyo cha msingi tunatakiwa kupata alama tatu na mechi inayofuata iwe nyepesi," alisema Mzamiru
Simba inahitaji ushindi au hata sare dhidi ya CS Sfaxien ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment