TETESI za Usajili Yanga SC dirisha dogo la Usajili 2024/2025
Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kumsajili winga, Jonathan Ikangalombo mwenye umri wa miaka 22 kutoka As Vita Club ya DR Congo.
Klabu ya Young Africans ipo kwenye hatua za mwisho Kukamilisha usajili wa Kiungo Mkabaji, Mick Harvy Itali Ossete raia wa Congo Brazzaville kutoka FC Lupopo ya DR Congo.
Ossete mwenye umri wa miaka 25 anatajwa kutua Young Africans kama mbadala wa Mganga, Khalid Aucho.
Klabu ya Young Africans SC imeanza hesabu za kutafuta saini ya mlinzi wa kati wa Coastal Union, Lameck Elias Lawi.
Usikose kuitazama mechi ya AL HILAL 🆚 YANGA na BRAVO 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Klabu ya Young Africans ipo kwenye hatua za mwisho Kukamilisha usajili wa beki, Israel Patrick Mwenda Kutoka Singida Black Stars kwa mkopo.
Young Africans imefikia hatua hiyo baada ya kuona uhaba wa walinzi wa kati kwenye kikosi hicho.
Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano na klabu ya Singida Black Stars ya kumsajili kiungo Kelvin Nashon kwa mkopo wa miezi 6.
Nashon mwenye umri wa miaka 24 atajiunga na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa tarehe 15 December 2024.
Klabu ya Young Africans imeanza mikakati ya kuimarisha safu yake ya Ushambuliaji Kuelekea dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa December 15,2024, huku ambapo jina la Mshambuliaji Bayo Aziz Fahad likiwa cha kwanza.
Bayo mwenye umri wa miaka 26 alikuwa pendekezo la kocha Miguel Gamondi na sasa Bayo yupo nchini anafanya mazoezi na Yanga ili kocha mpya Sead Ramovic aone kama anafaa kuchukua nafasi ya Jean Baleke ambaye anatatajiwa kuondoka Klabuni hapo.
Klabu ya Yanga inaangalia uwezekano wa kumsajili winga Jonathan Ikangalombo Kapela Kutoka AS Vita Club ya kwao DR Congo.
Mkataba Ikangalombo mwenye umri wa miaka 22 ambaye anaweza kucheza nafasi zote za winga pamoja ya ushambuliaji unafikia tamati tarehe 1 January 2025.
Post a Comment