Baada ya mapumziko ya takribani wiki moja, Wawakilishi pekee wa nchi katika michuano ya CAF, Simba leo wanarejea mzigoni wakitarajiwa kushuka dimba la KMC Complex kuikabili Kilimanjaro Wonders katika mchezo wa raundi ya pili kombe la Shirikisho la CRDB
Simba imejipanga kushinda mchezo huo ili kusonga mbele hatua inayofuata katika michuano hiyo
Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola amesema hawatadharau mchezo huo kwani wanayo kumbukumbu ya kuondoshwa na timu ndogo katika michuano hiyo miaka ya nyuma
Kilimanjaro Wonders inayoshiriki ligi daraja la kwanza, itarajie kukutana na Simba iliyokamili katika mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni
Baada ya mchezo huo kikosi cha Simba kitaelekeza nguvu zake kwenye ligi kuu ambapo Februari watakuwa mkoani Tabora kumenyana na Tabora United
Itazame mechi ya SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS LIVE hapa bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi.
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au tuma neno APP kwenda no 0749654923 utumiwe App
Au hapa chini
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
Post a Comment