Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amepania kumshusha Msimbazi kiungo mahiri wa CS Sfaxien Balla Moussa Conte, raia wa Guinea
Fadlu alionyesha kuvutiwa na kiungo huyo ambaye alin'gara katika mchezo wa kati ya Sfaxien dhidi ya Simba uliopigwa Tunisia na Simba kuibuka na ushindi wa ao 1-0
Inaelezwa baada ya mchezo huo, Fadlu alimtumia mlinda lango Moussa Camara ambaye pia ni raia wa Guinea kuchukua taarifa za mchezaji huyo kwa ajili ya mawasiliano zaidi
Bosi mmoja wa Simba amedokeza, Fadlu ana hesabu kali akitaka kuendelea kukisuka kikosi chake likiwemo eneo la kiungo
“Kocha anamtaka sana huyo Conte, tunaendelea na mawasiliano naye lakini tutaona tutafikia wapi kwa kuwa bado ana mkataba na klabu yake"
"Huyu ni chaguo la kocha (Fadlu) unajua hii ni awamu ya pili tu tumefanya lakini kwenye awamu ya tatu sasa ndio mtaona watu kama hawa kina Conte wanashuka," bosi huyo kutoka Kamati ya usajili alinukuliwa na Mwanaspoti
Usikose kuitazama mechi ya CRDB CUP katia ya YANGA 🆚 COPCO LIVE na SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
Au hapa chini
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
Post a Comment