Baada ya ligi kuu ya NBC kusimama kwa miezi miwili, ratiba ya Yanga kwa mwezi huu Januari 2025 inajumuisha mechi za ligi ya mabingwa pekee
Ni mechi tatu muhimu za kuipeleka Yanga robo fainali ya CAF CL ambapo mechi mbili zitapigwa dimba la Benjamin Mkapa na mechi moja ni ugenini
Kampeni ya kuzisaka alama 9 inaanza Jumamosi Januari 04 katika mchezo dhidi ya TP Mazembe utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Januari 12 Yanga itasafiri Mauritania kumalizana na Al Hilal katika mechi muhimu ya kisasi dhidi ya vijana wa Florent Ibenge
Yanga ilianza vibaya kampeni ya ligi ya mabingwa msimu huu kwa kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Al Hilal katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mechi ya kuhitimisha hatua ya makundi dhidi ya MC Alger itapigwa Januari 18 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Pengine Yanga itakuwa na nafasi nyingine ya kufuzu robo fainali ikiwa katika ardhi ya nyumbani kama ilivyokuwa msimu uliopita
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment