Nyie Hamuogopi kudadeki kocha wa Yanga atibua mipango yote ya Tp mazembe

 

KLABU ya Yanga kesho itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu katika mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe utakaochezwa Uwanja wa Benjamini Mkapa.

Timu zote hizo zinakutana zikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa kwanza uliochezwa, Desemba 14, 2024, DR Congo, TP Mazembe ilikubali kugawana pointi mbele ya Yanga.

Kuelekea mchezo wa kesho makocha wa timu zote wamezungumzia maandalizi ya vikosi vya timu zao.Kocha wa Yanga, Sead Ramovic amesema ni mechi muhimu kutafuta alama tatu za kufuzu hatua ya robo fainali.

“Tutaweka nguvu na kujenga kujiamini itasidia presha kuwa chini, nafiriki TP Mazembe itakuja na mchezo wa mpira mirefu na krosi, tumejipanga vizuri na tunahitaji alama tatu bila kujali idadi ya mabao tutakayoshinda,” amesema.

Naye Kocha wa TP Mazembe, Lamine Mamadou amesema wamejiandaa vizuri na wamekuja kucheza mchezo wa ushindani na wamesawazisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi iliyopita.

“Kabla ya kuja Tanzania tulienda sehemu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kesho, itakuwa mechi nzuri na tunakuja kutafuta pointi muhimu dhidi ya Yanga. tumejiandaa vizuri kila timu inafanya maandalizi namna ya mpinzani wake,” amesema.

Mamadou amesema hawaanglii matokeo yaliyopita, kesho ni mechi nyingine haitakuwa kama walivyocheza, kupoteza dakika ya mwisho inaumiza lakini wamejipanga kupata matokeo mazuri ugenini.

“Ni mechi muhimu lakini sio ya kimaamuzi kwa sababu tuna mechi tatu mbele, tunafahamu tunahitaji matokeo dhidi ya Yanga kuendelea kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kundi letu,” amesema.

Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post