Kikosi cha Yanga jioni ya leo kiko dimba la Mkapa kuikabili TP Mazembe katika mchezo muhimu wa hatua ya makundi CAF CL
Hii ni mechi muhimu kwa Yanga kushinda Ili kufufua matumaini ya kufuzu robo fainali ya michuano hiyo
Yanga inakwenda katika mchezo huo ikiwa na ari, morali kubwa. Hii ni kama fainali, ni matokeo ya aina moja tu ambayo Yanga inahitaji, USHINDI
Kocha Sead Ramovic anakwenda katika mchezo huo akiwa na kikosi chake kamili
Ni wachezaji wawili tu Clatous Chama na Yao Kouassi ambao watakosekana wakiwa bado majeruhi
Mlinda lango Djigui Diarra, Maxi Nzengeli na Kennedy Musonda wote wako fit na leo wanaweza kuwa sehemu ya mchezo huo
Gusa, achia twende kwao ndio kauli mbiu ambayo Yanga wanakwenda nayo katika mchezo huo
Ni mechi ngumu lakini bila shaka wachezaji watapambana kwa nguvu kubwa kuhakikisha alama tatu zinaparikana
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment