Ni jumamosi Yanga vs Copco Fc kombe la FA

 

Jumamosi Januari 25 2025 Yanga inaanza rasmi kampeni ya kutetea taji la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa nne mfululizo pale itakapomenyana na Copco Fc ya Mwanza ambayo inashiriki ligi daraja la kwanza

Ni mchezo wa raundi ya pili ya michuano hiyo ambao utapigwa uwanja wa KMC Complex

Kwa sasa Yanga inaelekeza silaha zake katika mchezo huo ili kutinga raundi ya tatu

Baada ya kuondoshwa katika michuano ya ligi ya mabingwa, kazi iliyobaki sasa kwa Wananchi ni kutetea mataji yote ya ndani

Mikiki mikiki ya kombe la FA ( CRDB CONFDERATION CUP inatarajia kuendelea wikendi hii Usikose kuitazama mechi ya  YANGA ðŸ†š COPCO FC LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

Au Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post