Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize ameibuka mchezaji bora wa mwezi Disemba 2024 Ligi Kuu ya NBC huku kocha Sead Ramovic akibeba tuzo ya kocha bora katika mwezi huo
Mzize alishinda tuzo hiyo baada ya kuonyesha kiwango bora Disemba akifunga mabao manne na kutoa pasi tatu za mabao
Mzize aliwashinda Prince Dube wa Yanga na Feisal Salum wa Azam Fc
Kwa upande wa tuzo ya kocha bora, Ramovic ameibuka kidedea mbele ya Fadlu Davids wa Simba na Rachid Taoussi wa Azam Fc baada ya kuingoza Yanga kushinda mechi zote
Usikose kuitazama mechi ya CRDB CUP katia ya YANGA 🆚 COPCO LIVE na SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
Au hapa chini
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
Post a Comment