Wananchi wameendelea kununua tiketi kwa wingi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Tiketi za VIP A zimemalizika huku tiketi chache za VIP B zikitarajiwa kumalizika wakati wowote
Karibu nusu ya tiketi za VIP C na Mzunguuko pia zimeshauzwa hivyo kwa wale ambao hawajakata tiketi wanayo nafasi ya kukamilisha zoezi hilo leo kabla hazijamalizika
Mkakati wa Yanga ni kuhakikisha mashabiki 60,000 wanaingia dimba la Mkapa hapo kesho kuongeza hamasa katika mchezo dhidi ya MC Alger utakaopigwa saa 10 jioni
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 MC ALGER LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Post a Comment