Matokeo Kidato cha Nne 2024/2025 Tanzania pdf


Unakaribishwa katika jukwaa hili maalum lenye makala yenye jina la: Matokeo Kidato cha Nne 2024/2025 Tanzania pdf (necta form four results 2024 Tanzania). Makala hii imetoa majibu yote ya maswali yako kuhusu matokeo ya kidato cha nne 2024 to 2025 necta.

Matokeo Kidato cha Nne 2024

Mtihani wa Upimaji wa Kidato cha nne, almaarufu kama ertificate of Secondary Education Examination(CSEE), ni mojawapo ya mitihani muhimu inayosimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).

Mtihani huu hufanyika kila mwaka kwa wanafunzi wa shule za sekondari kote nchini Tanzania, ikiwa ni hatua muhimu ya tathmini ya maendeleo ya kitaaluma baada ya miaka miwili ya masomo.

Matokeo yote umewekewa kwenye link hii>>https://www.necta.go.tz/results/view/csee

Je Umefurahia makala hii? toa maoni yako hapa chini, uliza swali lako kwa kutuandikia ujumbe kuhusu NECTA Form Four results Download pdf au mengineyo.

Kupata matokeo kwa haraka Bofya link Hii

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post