Leo Simba inaweza kujihakikishia tiketi ya kufuzu robo fainali kombe la Shirikisho (CAF CC) kama haitapoteza mchezo dhidi ya Bravos utakaopigwa uwanja wa Novemba 11 huko Angola
Vijana wa Kocha Fadlu Davids watakuwa na kazi moja tu ugenini leo, kuzisaka alama tatu katika mchezo utakaopigwa saa 1 usiku kwa saa za Tanzania ambapo itakuwa ni saa 11 jioni huko Angola
Usikose kuitazama mechi ya BRAVO 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Post a Comment