Kikosi cha Yanga jana jioni kilifanya maandalizi yake katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja huo
Kwa mujibu wa kanuni, leo itakuwa zamu ya MC Alger kufanya mazoezi yao ya mwisho katika dimba la Mkapa huku Yanga ikirudi Avic Town kukamilisha maandalizi
Ari na morali ya wachezaji wa Yanga kuelekea mchezo huko iko juu, hii ni mechi ambayo Yanga inahitaji kushinda ili kufuzu robo fainali
Wachezaji wa Yanga wameonyesha wanautaka mchezo na wako tayari kuwapa furaha Wananchi
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 MC ALGER LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Post a Comment