Maswali yamekuwa mengi kutoka kwa Wananchi baada ya kutomuona Profesa Pacome Zouzoua katika mazoezi yaliyofanyika juzi katika uwanja wa Benjamin Mkapa
'Profesa wa boli' yupo, jana alishiriki mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa leo saa 10 jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Ni wachezaji wawili tu, Yao Kouassi na Maxi Nzengeli ambao hawatakuwa sehemu ya mpango wa mechi leo
Yao ni majeruhi wakati Maxi amerejea kikosini karibuni hivyo bado hajawa fit kwa asilimia 100
Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic anakwenda katika mchezo dhidi ya MC Alger leo akiwa na kikosi chake ambacho kilimpa ushindi dhidi ya TP Mazembe na Al Hilal
Pacome ni miongoni mwa wachezaji hao na yuko tayari kwa mchezo...
🤔Bado hujadownload App ya kuangalia Mechi hizi?🤔
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 MC ALGER na SIMBA 🆚 CS COSTANTINE LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Post a Comment