Ligi Kuu ya NBC inarejea rasmi February 1 ambao Yanga itakamilisha mechi ya kiporo raundi ya 16 kwa kumenyana na Kagera Sugar katika mchezo utakaopigwa dimba la KMC Complex
Kulingana na ratiba iliyotolewa na TPLB mapema leo, February 05 Yanga itashuka tena KMC Complex kumenyana na GenGold
February 08 Yanga itaelekea Mbweni kumenyana na JKT Tanzania katika uwanja wa Meja Jen Isamuhyo kisha Wananchi kureja tena KMC Complex kumenyana na KMC February 14
February 17 Yanga itashuka tena dimba la KMC Complex kuikabili Singida Black Stars na kisha kusafiri mkoani Kigoma kuikabili Mshujaa Fc February 23
Usikose kuitazama mechi ya CRDB CUP katia ya YANGA 🆚 COPCO LIVE na SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
Au hapa chini
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
Post a Comment