Ligi Kuu ya NBC inarejea rasmi ambapo February 02 mechi ya kiporo kati ya Tabora United dhidi ya Simba itapigwa mkoani Tabora katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Kabla ya mchezo huo, Jumapili January 26 Simba itakamilisha mechi nyingine ya kiporo raundi ya pili ya kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya TRA Kilimanjaro mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex
Kulingana na ratiba mpya iliyotolewa na Bodi ya Ligi, February 06 Simba itakuwa Manyara kumenyana na Fountain Gate kisha kurejea Dar es salaam kuzikabili Tanzania Prisons (February 11) na Dodoma Jiji (February 15)
February 19 Simba itakuwa ugenini Lindi kuikabili Namungo Fc kisha kurejea Dar es salaam kuikabili Azam Fc February 24
Usikose kuitazama mechi ya CRDB CUP katia ya YANGA 🆚 COPCO LIVE na SIMBA 🆚 KILIMANJARO WONDERS bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
Au hapa chini
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
Post a Comment