Hivyo niliamua kumuacha, kumbe kitendo kile hakikumfurahisha. Akaenda kuniroga ili nikipata mwanamke mwingine nisidumu nae na akipata mimba iharibike.
Na hili jambo kweli likatokea kwani kila mwanamke ambaye nilikuwa nampata nilikuwa sidumu naye, huku yeye akawa ananifuatilia turudiane licha ya kutokuwa mke wangu bali alikuwa ni mpenzi wangu.
Jambo hilo lilinifanya kujua kuwa kuna kitu hakipo sawa ndipo nikamueleza rafiki yangu mmoja naye ananieleza kuwa Dr Bokko anaweza kunisaidia, akanipa namba zake za simu ambazo ni +255618536050 na kuwasiliana naye.
Nilimueleza Dr Bokko shida yangu naye akanifanyia matambiko ya kuondoa uchawi huo. Nashukuru ule uchawi ulikuja kuniachia na kuja kuwa na mahusiano mengine yenye mafanikio.
Basi nilikuja kutana na mke wangu kazini, alinivutia nikaanza kufuatilia taarifa zake nikagundua ana mtoto wa miaka mitatu lakini haikunikatisha tamaa.
Nilimtoa out siku moja kumueleza hisia zangu ila hakutaka kusikiliza kwa sababu watu aliojaribu kuwa na mahusiano nao hawakumtendea vizuri. Sikukata tamaa nliendelea kumueleza hisia zangu hadi akanielewa.
Japo alikua na wasiwasi nyumbani kwetu hawatamkubali kwa kua ana mtoto. Kwangu haikua shida, niliamini tunaweza kutengeneza familia bora yenye upendo. Watu walinikatisha tamaa kwa maneno mengi pia ila nilijipa moyo.
Tangu nimemuoa nina maendeleo mazuri sana maana ananishauri vizuri, ananijali sana.
Nawashauri vijana waache fikra potofu kwamba kuoa mwanamke aliezaa haifai. Hawa wanawake wanahitaji upendo wa kweli tu. Mioyo ya wanawake inaongea, ukiweza kuwasikiliza kwa makini hautajutia.
Mwisho.
Post a Comment