Kikosi cha Yanga kimetua salama ndani ya jiji la Algiers huko Algeria tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa Jumamosi, Disemba 07 katika uwanja wa Julai 05 muda mchezo huo ukiwa saa 4 usiku
Yanga iliondoka nchini jana jioni ambapo timu ilitua Dubai kwa ajili ya mapumziko na kuunganisha safari ya kuelekea Algeria mapema leo Jumatano
WANANCHI WATINGA ALGERIA
— Azam TV (@azamtvtz) December 4, 2024
Kikosi cha Yanga kimewasili katika jiji la Algers nchini Algeria mchana huu tayari kwa mchezo wao dhidi ya MC Alger utakaopigwa Jumamosi saa 4:00 usiku na kukufikia mbashara kupitia #AzamSports1HD#CAFChampionsLeague #CAFCL #CCL #LigiYaMabingwaAfrika… pic.twitter.com/3MiXXytRRQ
Usikose kuitazama mechi ya CS CONSTANTINE 🆚 SIMBA na MC ALGER 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment