Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons hapo jana, hakuna muda wa kupumzika kwa Wananchi kwani leo Yanga inaelekea mkoani Dodoma tayari kwa mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Jumatano, Disemba 25 Yanga itashuka uwanja wa Jamhuri kumenyana na Dodoma Jiji katika mechi nyingine muhimu ya ligi kuu
Mechi mbili zimebaki kukamilisha duru ya kwanza Ligi Kuu na pia kukamilisha mwaka 2024
Baada ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, kikosi cha Yanga kitarejea jijini Dar es salaam ambapo Disemba 29 Yanga itafunga mwaka 2024 kwa mchezo dhidi ya Fountain Gate utakaopigwa uwanja wa KMC Complex
Usikose kuitazama mechi ya DODOMA JIJI 🆚 YANGA na SIMBA 🆚JKT TANZANIA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment