Wachawi walinikimbiza hadi nikapoteza fahamu na kulazwa hospitali!

Wachawi walinikimbiza hadi nikapoteza fahamu na kulazwa hospitali!
Jina langu ni Halima kutoka Tanga, Tanzania, wakati nikiwa kidato cha pili siku moja alfajiri ya saa 11 na nusu nikiwa naenda shule, nilikutana na watu ambao walikuwa wamevalia nguo nyeusi kwenye nyumba moja wanafanya mambo ya kishirikina.

Baada ya kuwaona watu wale nilishtuka sana na nilipiga kelele ambazo ziliwashtua wale watu wakaanza kunikimbiza, nilikimbia huku napiga kelele sababu nilikuwa kama mita 50 kutoka nyumbani niliongeza mbio mpaka nilipofika karibu na nyumbani nilizimia.

Nilikuja kuzinduka nipo hospitali na nilipouliza niliambiwa kuwa nina siku mbili pale hospitali, ndugu zangu walijaribu kuniuliza nini kilitokea, ukweli sikuwa nakumbuka chochote zaidi ya kuwaambia niliona watu na wakaanza kunifukuza.

Nilirudi shule baada ya kuwa sawa lakini hali ile ilikuwa inanirudia rudia na ndio ikawa sababu ya mimi kufeli kidato cha pili na niliichukia shule nikawa sipendi kabisa kusoma.

Siku moja shangazai yangu alikuja nyumbani akanichukua na kunipeleka kwa Dr Bokko, mtaalamu wa tiba asilia, huko nilifanyiwa matambiko na ndipo hali hiyo iliondoka maishani mwangu.

Niliweza kuendelea na masomo hadi kuja kufika chuo kikuu, kila nikikaa na kuwaza tukio lile naweza kusema ulikuwa mpango wa watu wabaya ambao hawakutaka kuona mimi ninasoma na kufika mbali kimasomo.

Kwa sasa nina degree na nimeajiriwa serikalini, bila Dr Bokko sijui maisha yangu yangekuwaje.

Ikiwa nawe unahitaji au changamoto yoyote katika maisha yako upande wa uchumi, mahusiano, biashara, fedha, basi chukua hatua ya kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050.

Mwisho.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post