Viingilio; Yanga vs TP Mazembe, CAF CL

Jumamosi Januari 04 2025 Yanga itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na TP Mazembe katika mchezo wa raundi ya nne hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika

Yanga tayari imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni

VIP A Tsh 30,000/-, VIP B Tsh 20,000/-, VIP C Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Tiketi tayari zinapatikana kupitia mitandao ya simu

Ni mechi ambayo inapaswa kuwa na matokeo ya aina moja tu, Yanga ishinde au TP Mazembe ipigwe...!

Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post