Usikose kuitazama mechi ya TP MAZEMBE 🆚 YANGA na SIMBA 🆚 CS SFAXIEN Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload App Bonyeza hapa
TETESI za Usajili Yanga SC dirisha dogo la Usajili 2024/2025
Klabu ya Young Africans SC imeanza hesabu za kutafuta saini ya mlinzi wa kati wa Coastal Union, Lameck Elias Lawi.
Klabu ya Young Africans ipo kwenye hatua za mwisho Kukamilisha usajili wa beki, Israel Patrick Mwenda Kutoka Singida Black Stars kwa mkopo.
Young Africans imefikia hatua hiyo baada ya kuona uhaba wa walinzi wa kati kwenye kikosi hicho.
Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano na klabu ya Singida Black Stars ya kumsajili kiungo Kelvin Nashon kwa mkopo wa miezi 6.
Nashon mwenye umri wa miaka 24 atajiunga na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa tarehe 15 December 2024.
Klabu ya Young Africans imeanza mikakati ya kuimarisha safu yake ya Ushambuliaji Kuelekea dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa December 15,2024, huku ambapo jina la Mshambuliaji Bayo Aziz Fahad likiwa cha kwanza.
Bayo mwenye umri wa miaka 26 alikuwa pendekezo la kocha Miguel Gamondi na sasa Bayo yupo nchini anafanya mazoezi na Yanga ili kocha mpya Sead Ramovic aone kama anafaa kuchukua nafasi ya Jean Baleke ambaye anatatajiwa kuondoka Klabuni hapo.
Klabu ya Yanga inaangalia uwezekano wa kumsajili winga Jonathan Ikangalombo Kapela Kutoka AS Vita Club ya kwao DR Congo.
Mkataba Ikangalombo mwenye umri wa miaka 22 ambaye anaweza kucheza nafasi zote za winga pamoja ya ushambuliaji unafikia tamati tarehe 1 January 2025.
Usikose kuitazama mechi ya TP MAZEMBE 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment