TETESI za Usajili Simba SC dirisha dogo la Usajili 2024/2025


 

Karim Kimvuidi Simba SC
Karim Kimvuidi Simba SC

  1. Klabu ya Simba SC imetajwa kutuma ofa kwenda Orlando Pirates ya Afrika Kusini kwaajili kumpata Kiungo, Karim Kimvuidi raia wa DR Congo mwenye umri wa miaka 22 katika dirisha hili dogo la usajili

Fabrice Ngoma Simba SCKlabu ya Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids inaangalia uwezekano wa kuachana na kiungo wake, Fabrince Ngoma katika dirisha hili dogo la usajili ili kusajili kiungo mwingine wa kimataifa katika eneo hilo.

Abdelhay Forsy Simba SC
Abdelhay Forsy Simba SC

Simba SC inamfuatilia kwa ukaribu kiungo mshambuliaji, Abdelhay Forsy mwenye umri wa miaka 26 na huenda akatua klabuni hapo katika dirisha hili dogo.

Forsy ambaye yupo RCA Zemmra Kwa Mkopo akitokea Raja Athletic ya Morocco ni moja ya majina matatu ya viungo washambuliaji ambao Fadlu Davids anaohitaji kujiunga na Simba.

Ayoub Lakred Simba SC
Ayoub Lakred Simba SC

Uongozi wa klabu ya Simba SC, umesema kuwa upo tayari kumwachia golikipa Ayoub Lakred kwenye dirisha hili dogo la usajili.

Ayoub ambaye alikuwa majeruhi tangu msimu huu uanze anatakiwa na vilabu vya JS Kabylie ya Algeria na Raja Casablanca ya Morocco.

Usikose kuitazama mechi ya TP MAZEMBE 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post