Taarifa Mpya na Mbaya kutoka simu Usiku huu

 

Kiungo mshambuliaji wa Simba Joshua Mutale anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu akiuguza majeraha ya goti

Mutale alipata majeraha hayo katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania uliopigwa Disemba 24 Simba ikiibuka na ushindi wa bao 1-0

Unaweza kusema Mutale amekuwa na mwanzo mbaya Msimbazi kwani ameandamwa na mfululizo wa majeruhi

Huenda akakosa mechi zote tatu zilizobaki kuhitimisha hatua ya makundi kombe la Shirikisho la CAF (CAF CC)

Hata hivyo ongezeko la Elie Mpanzu katika kikosi cha Simba pamoja na uwepo wa winga kinda Ladark Chasambi wanamuhakikishia kocha Fadlu Davids huduma bora zaidi

Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post