Beki mpya wa Yanga Israel Mwenda ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Jamhuri
Yanga imekamilisha taratibu za usajili wa beki huyo kiraka na pengine Wananchi wa Dodoma wanaweza kumshuhudia akiitumikia Yanga kwa mara ya kwanza
Ujio wa Mwenda unazidi kuimarisha safu ya walinzi wa pembeni akiungana na Yao Kouassi, Kibwana Shomari, Chadrack Boka na Nickson Kibabage ambaye sasa anaweza kutumika kama winga
Kibwana ameonyesha kiwango cha juu katika mechi mbili zilizopita na pengine amejihakikishia nafasi ya kuanza katika kikosi cha kocha Sead Ramovic huku Boka akirejeshwa taratibu baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu
Mwenda anaweza kutumika kama kiraka katika beki ya kulia au kushoto kama ilivyokuwa kwa Kibwana
Usikose kuitazama mechi ya DODOMA JIJI 🆚 YANGA na SIMBA 🆚JKT TANZANIA Live buree kupitia simu yako download App yetu mapema ili kutazama mechi hizi pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment