Taarifa Mpya kutoka Yanga ni kuhusu Khalid Aucho
Usikose kuitazama mechi ya CS CONSTANTINE 🆚 SIMBA na MC ALGER 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi Kudownload App hii bonyeza Hapa
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho ametuliza presha ya mashabiki wa timu hiyo akiwahakikishia yuko fit kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa Jumamosi, Disemba 07 huko Algeria
Kupitia video fupi iliyowekwa na Yanga katika kurasa za mitandao ya kijamii, Aucho ameonekana akifanya mazoezi makali ya Gym huku akiwataarifu Wananchi kuwa yuko imara
"Mimi niko fresh naendelea na mazoezi...", ni kauli ya Aucho aliyoitoa katika video hiyo
Aucho alikosa mechi mbili zilizopita dhidi ya Al Hilal na Namungo Fc baada ya kuumia akiwa katika majukumu ya timu ya Taifa
Daktari huyo wa mpira huenda akarejea katika mchezo dhidi ya MC Alger siku ya Jumamosi
Aucho ni nguzo muhimu katika eneo la kiungo la Yanga, kurejea kwake ni habari njema kwa kocha Sead Ramovic ambaye mechi zake mbili za kwanza ameikosa 'mashine' hiyo kutoka Uganda
Usikose kuitazama mechi hii Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment