Jana Singida Black Stars walitangaza viingilio vya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, Disemba 28 katika uwanja wa CCM LITI
Ni kama walima alizeti hao wamepania kukusanya 'maokoto' ya kutosha kupitia mchezo huo ambao utapigwa saa 10 jioni
Mzunguuko ni Tsh 10,000/- huku majukwaa mengine ya VVIP ni Tsh 30,000/- na VIP Tsh 15,000/-
Simba tayari iko Singida ikiwasili usiku wa kuamkia leo ambapo kikosi cha kocha Fadlu Davids leo kitakamilisha maandalizi katika dimba la CCM LITI
Usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment