Simba yawasili Constantine


Usikose kuitazama mechi ya CS CONSTANTINE 🆚 SIMBA na MC ALGER 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload App Bonyeza Hapa




Msafara wa kikosi cha Simba umewasili salama Algeria katika mji wa Constantine tayari kwa mchezo wa raundi ya pili hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya wenyeji wao CS Constantine. Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili, Disemba 08 saa 4 usiku

Kikosi cha Simba kimetua Constantine usiku wa kuamkia leo baada ya safari ya zaidi ya saa 15 kutoka Dar es salaam

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post