Simba kuweka hadharani mkakati wa kuizima CS Sfaxien
Usikose kuitazama mechi ya TP MAZEMBE 🆚 YANGA na SIMBA 🆚 CS SFAXIEN Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload App Bonyeza hapa
Baada ya kurejea kutoka Algeria, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali leo atazungumza na wanahabari katika mkutano ambao atautumia kuweka hadharani mipango kuelekea mchezo wa raundi ya tatu hatua ya makundi kombe la Shirikisho (CAF CC) dhidi ya CS Sfaxien
Kupitia Mkutano huo utakaofanyika Tanganyika Packers saa 6 mchana, Ahmed atatangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa Jumapili na mkakati wa hamasa
Baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya CS Constantine, Mnyama anahitaji kushinda mchezo unaofuata ili kuweka hai malengo ya kutinga robo fainali
Usikose kuitazama mechi hii Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment