Mwana Mfalme gari limewaka, Prisons watanusurika?

Prince Dube kwa sasa unaweza kusema yuko 'on-fire'! hizi ndio nyakati za kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wakimkosoa

Kafunga hat-trik katika mchezo uliopita dhidi ya Mashujaa Fc na leo anatarajiwa kukiongoza kikosi cha Yanga katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons akiwa na 'confidence' kubwa

Mabao manne katika mechi mbili zilizopita kwenye mashindano yote, ni wazi yatamuongezea moto kuelekea mchezo dhidi ya Prisons

Leo inaweza kuwa siku mbaya kwa Prisons kukutana na Dube aliyezaliwa upya. Dube wa sasa akilenga hakosi!

Licha ya kuchelewa kuanza kufunga, Dube hayuko mbali katika mbio za ufungaji bora kwani anahitaji kufunga mabao manne tu kumfikia kinara wa ufungaji, Elvis Rupia mwenye mabao 7

Pamoja na kuwa mwenyewe ameweka wazi hafikirii ufungaji bora kwa sababu kuna washambuliaji wengi wazuri kwenye ligi waliofunga mabao mengi kuliko yeye, lakini ni wazi ataendelea kutupia na pengine tuzo hiyo ikamfuata...!

Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TZ PRISON Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post