Mume wangu kanitambulishia mchepuko wake!


Jina langu Sarah kutokea Dar es Salaam, Tanzania, siku moja akiwa safarini kikazi nilipokea simu kutoka kwa mwanamke mmoja ambaye sikumfahamu, akaniuliza kama namfahami kaka mmoja ambaye ni mpenzi wangu.

Nikasema ndio na ni mpenzi wangu, yule dada akaniambia amenipigia kunitaarifu kwamba kwa sasa yeye ndo kila kitu kwa yule mwanaume.

Nililia mno kwa maumivu yasiyoelezeka, nikamtafuta mwanaume kumhoji, na hakunificha akasema ni kweli ametembea naye ila hana mpango wa kuwa naye na akaniomba msamaha sana.

Mapenzi yana nguvu mno, nikajikuta nimemsamehe kabisa, jinsi alivyokua akilia ilinipa nafuu kuona kwamba kweli ananipenda, japo imani yangu kwake ilipungua kwa kiasi kikubwa, na sikuacha kumtaja yule mwanamke kwa sababu aliniumiza sana.

Baada ya mwaka mmoja alinioa ili aniaminishe kuwa ananipenda, basi nikasamehe yote ya nyuma nikaanza naye upya, na kweli tulikaa kwa amani sana hadi nikaamini kweli ni shetani tu alimpitia kipindi kile.

Mwaka juzi akapata safari ya kikazi akakaa huko miezi mitatu, alivyorudi niliona mabadiliko makubwa sana, kwa sababu ya yale mabadiliko nikajikuta naanza kumchunguza nikagundua kuna mwanamke anawasiliana nae ila sikusema kitu.

Alijitahidi kuficha ila ilifika mahali akashindwa kujificha, nikaamua kumuuliza kuhusu huyo mwanamke akanipa majibu ya kuumiza sana moyo wangu.

Akaniambia huyu mwanamke ninampenda, ila siwezi kukuacha, nasubiri mambo yakiwa sawa na yeye atakua mke kama wewe mpokee awe mdogo wako.

Nikamjibu sawa nikionyesha kufurahi na kumpongeza kwa kuwa muwazi.

Kwa jinsi nilivyokua namchekea hakugundua kitu kutoka kwangu, kumbe mimi nina maumivu makali sana moyoni kwa sababu sikutaka kushirikiana mtu na mume wangu.

Baada ya mimi kumuonyesha mapokezi mazuri ya lile jambo, akaanza hadi kunipa simu niongee na yule mwanamke, mpaka tukabadilishana namba na huyo mke mtarajiwa wa mume wangu.

Sio kama ile hali ilikua hainiumizi, nilikua naumia sana ila nilikuwa najitahidi kuficha maumivu yangu, wakati mwingine wakigombana wananishtakia niwasuluhishe.

Ilifika wakati nikachoka hali ile, nikaamua kutafuta suluhisho bila kugombana na mume wangu, nikaja kupata habari kuwa Dr Bokko wanatoa dawa za kumtuliza mume ndani ya ndoa.

Ni habari nilizopewa shangazi yangu ambaye alinipatiwa namba zao +255618536050, niliwasiliana naye na kuweza kunipatia huduma hiyo ambayo nakiri kuwa imeweza kutuliza ndoa yangu.

Tangu wakati mume wangu ametulia ndani ya ndoa, sijawahi kusikia habari zozote za mwanamke wa nje, hata yule mwanamke ambaye alinitambulisha kwake na kusema ni mke mwenzangu walikuja kuachana tena kwa ugomvi mkubwa.

Ikiwa nawe unahitaji au changamoto yoyote katika maisha yako upande wa uchumi, mahusiano, biashara, fedha, basi chukua hatua ya kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050.

Mwisho.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post