Baada ya kutembeza kichapo kilichosababisha 'balaa' pale uwanja wa Benjamin Mkapa juzi katika mchezo wa kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya CS Sfaxien, Simba sasa inahamishia makali yake kwenye ligi kuu ambapo kesho Jumatano, Disemba 18 itashuka uwanja wa KMC Complex kumenyana na KenGold
Habari njema kwa mashabiki wa Simba huenda wakamshuhudia winga Elie Mpanzu ambaye Simba ilikamilisha usajili wake tangu mwezi Septemba
Dirisha dogo la usajili lilifunguliwa jana Disemba 16 ambapo Simba imepata nafasi ya kumsajili Mpanzu ili kumtumia katika ligi kuu na mwezi Januari atasajiliwa CAF ili kutumika kombe la Shirikisho
Taarifa za ndani zimebainisha kuwa tayari Simba imemsajili Mpanzu akichukua nafasi ya mlinda lango Ayoub Lakred
Wanasimba wamesubiri kwa hamu kumshuhudia Mpanzu, KenGold wanaoburuza mkia katika msimamo wa ligi kuu ya NBC wanaweza kuwa timu ya kwanza kuonja 'balaa' la Mcongomani huyo
Usikose kuitazama mechi ya SIMBA 🆚 KEN GOLD na YANGA 🆚 MASHUJAA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment