Mimi ni Dokta ila nafanya kazi carwash!

Jina langu ni Kambole kutoka Dodoma nchini Tanzania, nimemaliza Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mwaka 2020, baada ya hapo nilipangiwa kwenda field hospitali ya general hapo hapo Dodoma.

Ili kuweza kukidhi mahitaji yangu niliamua kununua mashine za kuoshea magari pamoja na pikipiki na kujiajiri, kwa siku naingiza hadi Sh200,000, ila kuna muda inategemea na siku na siku, kwa mafano wikiendi wateja wanakuwa wengi.

Nafanya kazi hii karibu sana na chuo, wanafunzi wanaonikuta hapa hawajui kuwa nimesoma na wananichulia kama muhuni tu wa mtaani, hawajui na mimi nimepita pale walipo.

Kuna safari alikuja mwanafunzi wa chuo na girlfriend wake nimuoshe pikipiki, wakati naosha alikuwa anaongea maneno mabaya kuhusu mimi, bahati nzuri sikusikia.

Walivyoondoka rafiki yangu akanisimulia, nilicheka tu, nikajisemea moyoni wakimaliza chuo ndio wataelewa. Nakutana na maneno mengi ya dharau, hawajui mimi kitaaluma ni Dokta ila nimejiari kupitia carwash yangu na inanilipa vizuri tu.

Kuna mmoja alinikuta hospitali nikiwa nahudumia wagonjwa, hakuamini maana ananifamu tu kama mwosha magari, na kwa sasa nimeamua kusimamia hii biashara yangu, maana ndio inanilipa zaidi ingawa nilipewa nafasi ya kuendelea kujitolea pale hospitali.

Yule mwanafunzi alinifuata pale carwash akaniuliza kwanini nafanya kazi ile wakati mimi ni Dokta, ukweli ni kwamba nilifanya kazi hii baada ya kufanya kazi ya Udaktari kwa muda mrefu bila ajira rasmi ndipo nikafungua carwash yangu.

Hata hivyo, mwanzo biashara ilikuwa ni ngumu sana, kuna siku ilikuwa inaisha unakutana nimeosha pikipiki moja tu ambayo bei yake ni Sh2,000, ndipo nikaenda kwa Dr Bokko ili aweze kunifanyia tiba yake ya kuvuta wateja.

Kweli baada ya kufanyiwa tiba na Dr Bokko mambo yakaanza kuwa mazuri kwangu hadi sasa katika carwash yangu, nimeajiri vijana sita na kuweka eneo la kuuza vinywaji kwa wateja wangu.

Ikiwa nawe unahitaji au changamoto yoyote katika maisha yako upande wa uchumi, mahusiano, biashara, fedha, basi chukua hatua ya kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050.

Mwisho.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post