Tanzania Prisons imepata pigo baada ya winga wao tegemeo Zabona Mayombya kujiunga na klabu ya Pamba Jiji
Pamba Jiji imethibitisha kukamilisha usajili wa Mayombya ambaye alikuwa mmoja wa wachezaji tegemeo wa Prisons
Prisons inachuana na Yanga leo katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa KMC Complex
Unaweza kusema wajelajela hao wanapita katika kipindi kigumu na pengine msimu huu watahitaji kufanya kazi ya ziada kunusurika na kushuka daraja
Ni hivi karibuni ilitangaza kuachana na Kocha Mkuu Mbwana Makata ambapo timu hiyo sasa iko chini ya Shaban Kazumba na Shaban Mtupa
Usikose kuitazama mechi ya DODOMA JIJI 🆚 YANGA na SIMBA 🆚JKT TANZANIA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment