Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo vinara wa ligi hiyo Simba watashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika mchezo utakaopigwa saa 10 jioni
Baada ya ushindi mnono wa mabao 5 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliopita, Simba imepania kuendeleza ubabe wake leo mbele ya maafande wa JKT
Usikose kuitazama mechi ya SIMBA 🆚 JKT TANZANIA Live buree kupitia simu yako download App yetu mapema ili kutazama mechi hizi pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment