Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga leo wanarudi uwanja wa nyumbani, KMC Complex kuikaribisha Fountain Gate
Ni mechi ya kufunga mwaka 2024, Wananchi pia wakifunga hesabu za duru la kwanza kwa kukamilisha mechi ya 15
Yanga ni kama imejipata chini ya kocha Sead Ramovic na bila shaka Fountain Gate leo watahitaji kufanya kazi ya ziada kupata chochote katika mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni
Gusa, achia twende kwao ya Yanga imeanza kusumbua, Wananchi wakipachika mabao 13 katika mechi 4 zilizopita huku wakiruhusu mabao mawili tu
Usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment