Ligi Kuu ya inaendelea leo ambapo vinara wa ligi hiyo Simba wako mkoani Singida kumenyana na Singida Black Stars katika mchezo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini
Ni mechi inayokutanisha timu zilizo katika nafasi nne za juu katika msimamo wa ligi, Simba ikiwa kileleni na alama 37 huku Singida BS wakishika nafasi ya nne wakiwa na alama 33
Usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment